2 Wafalme 21:13 BHN

13 Nitauadhibu Yerusalemu kama vile nilivyofanya Samaria, na mfalme Ahabu na wazawa wake. Nitafuta Yerusalemu kama mtu afutavyo sahani iliyosafishwa na kuiinamisha.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 21

Mtazamo 2 Wafalme 21:13 katika mazingira