2 Wafalme 21:6 BHN

6 Pia alimtoa mwanawe kuwa sadaka ya kuteketezwa. Alipiga ramli; alibashiri akishirikiana na waaguzi wa mizimu na wachawi. Alitenda maovu mengi mbele ya Mwenyezi-Mungu, akamkasirisha.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 21

Mtazamo 2 Wafalme 21:6 katika mazingira