2 Wafalme 21:8 BHN

8 Na iwapo Waisraeli watajali kutenda yote niliyowaamuru na kufuata Sheria zote mtumishi wangu Mose alizowapa, basi sitawaacha wafukuzwe kutoka katika nchi hii ambayo niliwapa babu zao.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 21

Mtazamo 2 Wafalme 21:8 katika mazingira