20 Kwa hiyo tazama, nitakukusanya pamoja na babu zako nawe utawekwa kaburini kwa amani, macho yako hayataona uovu nitakaouleta juu ya mahali hapa.’” Basi wajumbe wakamletea mfalme Yosia habari hizi.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 22
Mtazamo 2 Wafalme 22:20 katika mazingira