2 Wafalme 23:10 BHN

10 Mfalme Yosia pia alipatia najisi mahali pa kuabudia miungu ya uongo palipoitwa Tofethi katika bonde la wana wa Hinomu, ili mtu yeyote asimchome mwanawe au bintiye kuwa tambiko kwa Moleki.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 23

Mtazamo 2 Wafalme 23:10 katika mazingira