2 Wafalme 23:6 BHN

6 Aliondoa Ashera kutoka katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, nje ya Yerusalemu, akaipeleka mpaka kijito cha Kidroni. Huko akaiteketeza na kuisaga mpaka ikawa mavumbi, nayo mavumbi yake akayatawanya juu ya makaburi ya watu.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 23

Mtazamo 2 Wafalme 23:6 katika mazingira