2 Wafalme 23:8 BHN

8 Akakusanya makuhani wote kutoka miji ya Yuda na akapatia najisi mahali pa juu makuhani walikofukiza ubani, kutoka Geba mpaka Beer-sheba; naye akabomoa mahali pa juu palipokuwa upande wa kushoto wa lango la mji penye malango yaliyokuwa kwenye njia ya kuingilia lango la Yoshua mtawala wa mji.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 23

Mtazamo 2 Wafalme 23:8 katika mazingira