2 Wafalme 24:14 BHN

14 Alichukua watu wote wa Yerusalemu: Wakuu wote, watu wote waliokuwa mashujaa, mateka 10,000, na mafundi wote na wahunzi. Hakuna aliyebaki isipokuwa waliokuwa maskini kabisa nchini.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 24

Mtazamo 2 Wafalme 24:14 katika mazingira