18 Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja alipoanza kutawala; alitawala kwa muda wa miaka kumi na mmoja huko Yerusalemu. Mama yake aliitwa Hamutali binti Yeremia, mkazi wa mji wa Libna.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 24
Mtazamo 2 Wafalme 24:18 katika mazingira