2 Wafalme 24:8 BHN

8 Yehoyakini alikuwa na umri wa miaka kumi na minane alipoanza kutawala; alitawala huko Yerusalemu kwa muda wa miezi mitatu. Mama yake alikuwa Nehushta binti Elnathani, mkazi wa Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 24

Mtazamo 2 Wafalme 24:8 katika mazingira