2 Wafalme 3:14 BHN

14 Elisha akasema, “Kama aishivyo Mwenyezi-Mungu mwenye nguvu ambaye mimi ninamtumikia, naapa kwamba kama isingekuwa kwa heshima niliyo nayo kwa rafiki yako mfalme Yehoshafati wa Yuda, nisingekujali hata kidogo.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 3

Mtazamo 2 Wafalme 3:14 katika mazingira