19 Mtashinda kila mji wenye ngome na kila mji mzuri; mtaikata miti yao yote, mtaziba chemchemi zote za maji, na kuyaharibu mashamba yao yote yenye rutuba kwa kuyajaza mawe.”
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 3
Mtazamo 2 Wafalme 3:19 katika mazingira