2 Wafalme 3:7 BHN

7 Akatuma ujumbe kwa mfalme Yehoshafati wa Yuda, akamwambia, “Mfalme wa Moabu ameniasi. Je, utashirikiana nami tupigane naye?”Mfalme Yehoshafati akamjibu, “Niko tayari! Mimi na wewe ni kitu kimoja; watu wangu ni kama wako, farasi wangu ni kama wako.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 3

Mtazamo 2 Wafalme 3:7 katika mazingira