2 Elisha akamwuliza, “Sasa nikusaidieje? Niambie kile ulicho nacho nyumbani.” Mama huyo mjane akamjibu, “Mimi mtumishi wako sina kitu chochote ila chupa ndogo ya mafuta.”
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 4
Mtazamo 2 Wafalme 4:2 katika mazingira