23 Mumewe akamwuliza, “Mbona unataka kumwona leo? Leo si siku ya mwezi mwandamo wala Sabato?” Akamjibu, “Usijali.”
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 4
Mtazamo 2 Wafalme 4:23 katika mazingira