38 Elisha akarudi Gilgali wakati nchini kulikuwa na njaa. Siku moja, alipokuwa akifundisha wanafunzi wa manabii alimwambia mtumishi wake, “Weka chungu kikubwa motoni, uwapikie manabii.”
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 4
Mtazamo 2 Wafalme 4:38 katika mazingira