2 Wafalme 4:40 BHN

40 Chakula kikapakuliwa. Lakini walipokionja wakamlilia Elisha wakisema, “Ee mtu wa Mungu, chakula hiki kitatuua!” Nao hawakuweza kukila.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 4

Mtazamo 2 Wafalme 4:40 katika mazingira