2 Katika vita walivyokuwa wakipigana na Israeli, Waaramu walikuwa wamemchukua msichana mmoja mdogo kutoka Israeli, naye akawa anamtumikia mke wa Naamani.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 5
Mtazamo 2 Wafalme 5:2 katika mazingira