27 Kwa hiyo ukoma wa Naamani utakushika wewe, na wazawa wako milele.” Basi, Gehazi aliondoka akiwa tayari ameshikwa na ukoma, na ngozi yake ilikuwa nyeupe kama theluji.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 5
Mtazamo 2 Wafalme 5:27 katika mazingira