30 Mara mfalme aliposikia maneno ya mwanamke huyo alirarua nguo zake kwa huzuni, na watu waliokuwa karibu na ukuta waliona kwamba alikuwa amevaa vazi la gunia ndani yake.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 6
Mtazamo 2 Wafalme 6:30 katika mazingira