15 Watu hao wakaenda mpaka Yordani na njiani waliona nguo na vifaa vingine Waaramu walivyoacha walipokuwa wanakimbia. Wakarudi na kumpasha mfalme habari.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 7
Mtazamo 2 Wafalme 7:15 katika mazingira