2 Wafalme 8:15 BHN

15 Lakini kesho yake Hazaeli akachukua blanketi akalilowesha majini, kisha akamfunika nalo usoni mpaka akafa. Hazaeli akatawala Aramu mahali pake.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 8

Mtazamo 2 Wafalme 8:15 katika mazingira