2 Wafalme 8:25 BHN

25 Katika mwaka wa kumi na mbili wa utawala wa Yoramu mwana wa Ahabu mfalme wa Israeli, Ahazia mwana wa Yehoramu mfalme wa Yuda, alianza kutawala.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 8

Mtazamo 2 Wafalme 8:25 katika mazingira