2 Wafalme 9:16 BHN

16 Ndipo akapanda gari lake na kuelekea Yezreeli. Yoramu alikuwa bado hajapona, na Ahazia mfalme wa Yuda alikuwa amemtembelea.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 9

Mtazamo 2 Wafalme 9:16 katika mazingira