2 Wafalme 9:34 BHN

34 na kuingia katika jumba la kifalme, na huko akala na kunywa. Halafu akaamuru: “Mzikeni mwanamke huyo aliyelaaniwa; kwa kuwa ni binti mfalme.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 9

Mtazamo 2 Wafalme 9:34 katika mazingira