Amosi 1:11 BHN

11 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Watu wa Edomu wametenda dhambi tena na tena,kwa hiyo sitaacha kuwaadhibu.Waliwawinda ndugu zao Waisraeli kwa mapanga,wakaitupilia mbali huruma yao yote ya kindugu.Hasira yao haikuwa na kikomo,waliiacha iwake daima.

Kusoma sura kamili Amosi 1

Mtazamo Amosi 1:11 katika mazingira