Amosi 1:13 BHN

13 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Watu wa Amoni wametenda dhambi tena na tena,kwa hiyo sitaacha kuwaadhibu.Katika vita vyao vya kupora nchi zaidi,waliwatumbua wanawake waja wazito nchini Gileadi.

Kusoma sura kamili Amosi 1

Mtazamo Amosi 1:13 katika mazingira