Amosi 1:14 BHN

14 Basi, nitazishushia moto kuta za mji wa Raba,na kuziteketeza kabisa ngome zake.Siku hiyo ya vita patakuwa na makelele mengi,nayo mapambano yatakuwa makali kama tufani.

Kusoma sura kamili Amosi 1

Mtazamo Amosi 1:14 katika mazingira