Amosi 1:2 BHN

2 Amosi alisema hivi:Mwenyezi-Mungu ananguruma kutoka mlima Siyoni,anavumisha sauti yake kutoka Yerusalemu,hata malisho ya wachungaji yanakauka,nyasi mlimani Karmeli zinanyauka.

Kusoma sura kamili Amosi 1

Mtazamo Amosi 1:2 katika mazingira