Amosi 1:3 BHN

3 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Watu wa Damasko wametenda dhambi tena na tena;kwa hiyo, sitaacha kuwaadhibu;waliwatendea watu wa Gileadi ukatili mbaya.

Kusoma sura kamili Amosi 1

Mtazamo Amosi 1:3 katika mazingira