Amosi 1:5 BHN

5 Nitayavunjavunja malango ya mji wa Damasko,na kuwang'oa wakazi wa bonde la Aweni,pamoja na mtawala wa Beth-edeni.Watu wa Aramu watapelekwa uhamishoni Kiri.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Kusoma sura kamili Amosi 1

Mtazamo Amosi 1:5 katika mazingira