6 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Watu wa Gaza wametenda dhambi tena na tena,kwa hiyo sitaacha kuwaadhibu.Walichukua mateka watu kabila zima,wakawauza wawe watumwa kwa Waedomu.
Kusoma sura kamili Amosi 1
Mtazamo Amosi 1:6 katika mazingira