Amosi 1:8 BHN

8 Nitawang'oa wakazi wa mji wa Ashdodi,pamoja na mtawala wa Ashkeloni.Nitanyosha mkono dhidi ya Ekroni,nao Wafilisti wote waliosalia wataangamia.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Kusoma sura kamili Amosi 1

Mtazamo Amosi 1:8 katika mazingira