9 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Watu wa Tiro wametenda dhambi tena na tena,kwa hiyo sitaacha kuwaadhibu.Walichukua mateka kabila zima hadi Edomu,wakaukiuka mkataba wa urafiki waliokuwa wamefanya.
Kusoma sura kamili Amosi 1
Mtazamo Amosi 1:9 katika mazingira