1 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Watu wa Moabu wametenda dhambi tena na tena,kwa hiyo sitaacha kuwaadhibu.Wamemkosea heshima marehemu mfalme wa Edomukwa kuichoma moto mifupa yakeili kujitengenezea chokaa!
Kusoma sura kamili Amosi 2
Mtazamo Amosi 2:1 katika mazingira