Amosi 2:11 BHN

11 Niliwateua baadhi ya wana wenu wawe manabii,na baadhi ya vijana wenu wawe wanadhiri.Je, enyi Waisraeli,haya nisemayo si ya kweli?Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Kusoma sura kamili Amosi 2

Mtazamo Amosi 2:11 katika mazingira