15 Wapiga upinde vitani hawatastahimili;wapiga mbio hodari hawataweza kujiokoa,wala wapandafarasi hawatayanusurisha maisha yao.
Kusoma sura kamili Amosi 2
Mtazamo Amosi 2:15 katika mazingira