6 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Waisraeli wametenda dhambi tena na tena,kwa hiyo sitaacha kuwaadhibu.Wamewauza watu waaminifukwa kuwa hawakuweza kulipa madeni yao;na kuwauza watu fukarawasioweza kulipa deni la kandambili.
Kusoma sura kamili Amosi 2
Mtazamo Amosi 2:6 katika mazingira