Amosi 2:7 BHN

7 Huwanyanyasa na kuwakandamiza wanyonge,na maskini huwabagua wasipate haki zao.Mtu na baba yake hulala na mjakazi yuleyule,hivyo hulitia unajisi jina langu takatifu.

Kusoma sura kamili Amosi 2

Mtazamo Amosi 2:7 katika mazingira