Amosi 3:1 BHN

1 Enyi Waisraeli, sikilizeni neno Mwenyezi-Mungu alilosema dhidi yenu, enyi taifa zima alilolitoa nchini Misri:

Kusoma sura kamili Amosi 3

Mtazamo Amosi 3:1 katika mazingira