Amosi 3:2 BHN

2 “Kati ya mataifa yote ulimwenguni,ni nyinyi tu niliowachagua.Kwa hiyo nitawaadhibu nyinyi,kwa sababu ya uovu wenu wote.”

Kusoma sura kamili Amosi 3

Mtazamo Amosi 3:2 katika mazingira