Amosi 3:8 BHN

8 Simba akinguruma,ni nani asiyeogopa?Bwana Mwenyezi-Mungu akinena,ni nani atakataa kuutangaza ujumbe wake?

Kusoma sura kamili Amosi 3

Mtazamo Amosi 3:8 katika mazingira