Amosi 4:7 BHN

7 “Tena niliwanyima mvuamiezi mitatu tu kabla ya mavuno.Niliunyeshea mvua mji mmoja,na mji mwingine nikaunyima.Shamba moja lilipata mvua,na lingine halikupata, likakauka.

Kusoma sura kamili Amosi 4

Mtazamo Amosi 4:7 katika mazingira