8 Watu wa miji miwili, mitatu wakakimbilia mji mwingine,wapate maji, lakini hayakuwatosha.Hata hivyo hamkunirudia.Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Amosi 4
Mtazamo Amosi 4:8 katika mazingira