Amosi 4:9 BHN

9 “Niliwapiga pigo la ukame na ukungu;nikakausha bustani na mashamba yenu ya mizabibu;nzige wakala mitini na mizeituni yenu.Hata hivyo hamkunirudia.Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Amosi 4

Mtazamo Amosi 4:9 katika mazingira