17 Patakuwa na kilio katika mashamba yote ya mizabibu;maana nitapita kati yenu kuwaadhibu.Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.”
Kusoma sura kamili Amosi 5
Mtazamo Amosi 5:17 katika mazingira