Amosi 5:26 BHN

26 Je, wakati huo mlibeba kama sasa vinyago vya mungu wenu Sakuthi mfalme wenu na vinyago vya Kaiwani mungu wenu wa nyota, vitu ambavyo mlijitengenezea wenyewe?

Kusoma sura kamili Amosi 5

Mtazamo Amosi 5:26 katika mazingira