Amosi 5:27 BHN

27 Kwa hiyo nitawapeleka uhamishoni, mbali kuliko Damasko! Hayo amesema Mwenyezi-Mungu, ambaye jina lake ni Mungu wa Majeshi.

Kusoma sura kamili Amosi 5

Mtazamo Amosi 5:27 katika mazingira