1 Ole wenu nyinyi mnaostarehe huko Siyoni,nanyi mnaojiona salama mlimani Samaria!Nyinyi mwaonekana kuwa viongozi wa taifa maarufuambao Waisraeli wote huwategemea.
Kusoma sura kamili Amosi 6
Mtazamo Amosi 6:1 katika mazingira