2 Haya! Nendeni Kalne mkaangalie kila mahali,tokeni huko mwende hadi mji ule mkubwa wa Hamathi,kisha teremkeni hadi Gathi kwa Wafilisti.Je, falme zao si bora kuliko zenuna eneo lao si bora kuliko lenu?”
Kusoma sura kamili Amosi 6
Mtazamo Amosi 6:2 katika mazingira